Huu Ndio Ujumbe Alioandika Askofu Gwajima Akiambatanisha na Picha ya RC Makonda. | BONGOJAMII

Huu Ndio Ujumbe Alioandika Askofu Gwajima Akiambatanisha na Picha ya RC Makonda.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

"Mchana na usiku huzunguka kutani mwake; Uovu na taabu zimo ndani yake; Tamaa mbaya zimo ndani yake; Dhuluma na hila haziondoki mitaani mwake. Kwa maana aliyetukana si adui; Kama ndivyo, ningevumilia. Aliyejitukuza juu yangu siye anichukiaye; Kama ndivyo, ningejificha asinione. Bali ni wewe, mtu mwenzangu, Rafiki yangu, niliyejuana nawe sana. Tulipeana shauri tamu; na kutembea Nyumbani mwa Mungu pamoja na mkutano."


ZAB. 55:10‭-‬14 SUV
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts