Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
![](https://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2017/02/SASAAA.jpg?resize=660%2C400)
Kutoka Bungeni Dodoma Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga ni miongoni mwa waliopata nafasi ya kusimama kwenye kuhitimisha Mkutano wa sita wa Bunge na kuhoji uhalali wa baadhi ya Watuhumiwa wa dawa za kulevya kutajwa majina yao kupitia vyombo vya habari.
Mlinga amesema “Sipingi vita dhidi ya dawa za kulevya ila ninacholaani ni mtu kutumia madaraka yake kupigana vita binafsi kuigeuza kuwa vita ya kitaifa, niko tayari kusimama mbele ya Rais kumwambia chanzo cha vita hii“
“Vita haijaanza kwa ajili ya dawa za kulevya, imeanza kwa ugomvi binafsi baada ya kuona ita back-fire wakaigeuza kuwa vita ya dawa za kulevya, wale Wasanii waliowekwa ndani ilikua nini?” – Mlinga
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka