Mavazi ya bikini yasababisha maonyesho kupigwa marufuku... | BONGOJAMII

Mavazi ya bikini yasababisha maonyesho kupigwa marufuku...

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Serikali Guinea imepiga marufuku kwa muda maonyesho ya urembo baada ya mavazi ya bikini kuzua shutuma nchini humo.


Wagombea walijipanga mbele ya waziri mkuu Mamady Youla wakiwa wamevaa bikini siku ya Jumamosa na kasababisha shutuma kwenye mitandao ya kijamii.


Gazeti moja liliandika likiuliza ikiwa waziri mkuu alikuwa akiunga mkono ukahaba.


Waziri wa tamaduni anasema kuwa marufuku hiyo itasalia hadi pale vipengere vipya vya maadili vitakapo tangazwa.


Amasema kuwa kamati imebuniwa kuandika vipengere hivyo.


Pia amesema kuwa serikali imefuta mikataba na waandalizi wa maonyesho hayo ya urembo.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts