Mbwana Samatta Aumia Genk Ikipoteza Mbele ya KV Oostende,, | BONGOJAMII

Mbwana Samatta Aumia Genk Ikipoteza Mbele ya KV Oostende,,

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD


Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta wa klabu ya KRC Genk amejikuta katika wakati mgumu usiku wa Jumanne hii wakati timu yake ya KRC Genk ilipokuwa ikicheza na KV Oostende katika mchezo wa kombe la Ubelgiji.


Samatta aliumia katika daika ya 23 na kulazimika kutolewa nje ya uwanja na kumpisha Jose Naranjo ambaye alikosa p3enati katika mchezo huo.


Katika mchezo huu ambao Genk walikuwa katika uwanja wao wa nyumbani Luminus Arena walijikuta wakipoteza mchezo huo kwa kufungwa goli 1-0 dhidi ya KV Oostende na kutolewa katika kombe hilo huku goli hilo likifungwa dakika ya nane na Knowledge Musona ambaye ni raia wa nchini Zimbabwe.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts