AUDIO==>>MAMA SALAMA KIKWETE AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUTEULIWA KUWA MBUNGE | BONGOJAMII

AUDIO==>>MAMA SALAMA KIKWETE AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUTEULIWA KUWA MBUNGE

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Tarehe 1 Mwezi wa 3, 2017 Rais Dk. John Magufuli alimteua mke wa Rais mstaafu wa awamu ya Nne mama Salma Kikwete kuwa mbunge wa bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. 


Leo March 3 2017 akiwa mkoani Lindi amezungumza kuhusu kuteuliwa kwake na kumshukuru Rais Magufuli. 


==>Msikilize hapo chini akiongea


Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts