Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Kwa wadau wa mziki huyu Ney mnamchukuliaje Baada ya Kuachia Huu Wimbo Wakati huu wenye sintofahamu nyingi za kiasasa?
Song hii imeikosoa waziwazi serikali ya Magufuli bila woga wowote ule. Kwa song hii inamfanya msanii huyu kuweka record ya kipekee kabisa ambapo katika kipindi ambacho nchini Kuna issue hot inayoendelea hasa hasa issues za mkuu wa mkoa wa Dar ndugu Bashite
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka