BREAKING NEWS, MAALIM SEIF AVULIWA UKATIBU MKUU CUF... | BONGOJAMII

BREAKING NEWS, MAALIM SEIF AVULIWA UKATIBU MKUU CUF...

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Baraza Kuu la Uongozi Taifa la Chama cha Wananchi(CUF) leo limemvua Maalim Seif nafasi ya Ukatibu Mkuu na kumpa Magdalena Sakaya.
Taarifa ya hatua hiyo imetangazwa Mapema leo na Prof Ibrahim Lipumba

Habari zaidi itakujia hivi punde...

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts