BREAKING NEWS==>>POLISI WAMKAMATA TENA MCHUNGAJI GWAJIMA, AFANYIWA UPEKUZI UPYA | BONGOJAMII

BREAKING NEWS==>>POLISI WAMKAMATA TENA MCHUNGAJI GWAJIMA, AFANYIWA UPEKUZI UPYA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Polisi jijini Dar wamemkamata Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Leo siku ya Ijumaa akiwa nyumbani kwake na inasemekana wameweza kumfanyia upekuzi upya.

Gwajima amepelekwa Central na taarifa zaidi zitafuatia
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts