DIAMOND PLATNUM AFANYA KUFURU YA MWAKA, ANUNUA CHENI NA PETE KWA MILLION 158 | BONGOJAMII

DIAMOND PLATNUM AFANYA KUFURU YA MWAKA, ANUNUA CHENI NA PETE KWA MILLION 158

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Pete na cheni mpya za Diamond Platnumz alizozivaa kwa wakati mmoja zina thamani ya shilingi milioni 158!


Hitmaker huyo wa Marry You amepost Instagram picha mbili zikionesha madini hayo kwa kile anachosema kuwainspire mashabiki wake.


“Thanks God for my new GOLD & DIAMONDS collection…i never thought i would be able to hang 50,000$ on my neck,” ameandika kwenye picha ya kwanza.


Kwenye picha nyingine ameandika, “Thanks God for your daily blessings never thought i would be able to walk with 22,000 $ on my Hand!!!… jus get inspired @sallam_sk don’t hate.”


Muimbaji huyo wikiendi iliyopita alitumbuiza show ya nguvu humo Muscat, Oman.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts