DIAMOND PLATNUMZ AZIDI KUVUKA MIPAKA....AFUNGUA TAWI LA WASAFI RWANDA | BONGOJAMII

DIAMOND PLATNUMZ AZIDI KUVUKA MIPAKA....AFUNGUA TAWI LA WASAFI RWANDA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Mkali wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kukamilisha mazungumzo kuhusu kufungua tawi la Wasafi.Com ncini Rwanda, kitu ambacho ni kizuri katika kukuza brand yake na vitu kama hivyo.

Hivi unajua yalikuwa vipi malengo ya Diamond Platnumz wakati anawaza kuanzisha platform hiyo ya Wasafi.Com? Kama ulikuwa huju ni kwamba, Diamond Platnumz alifikiria kufungua platform hiyo ili aitumie kuuza ngoma za Wasafi tu, lakini sasa tunaona anavuka hadi mipaka ya Bongo Tanzania.
Perfect255 imepiga story na Diamond Platnumz na amefunguka kila kitu kuhusu ilikuwa vipi hadi kuifanya platform yake ifanye kazi na wasanii wa Africa nzima tofauti na lengo lake la mwanzo.
Bonyeza play kwenye video hii hapa chini kumsikiliza Diamond Platnumz akifunguka intro to outro kuhusiana na mchongo huo.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts