KUMEKUCHA , SHILAWADU WAJA KIVINGINE...WAPOST PICHA HII YA NAPE NA KUANDIKA MANENO HAYA MAZITO | BONGOJAMII

KUMEKUCHA , SHILAWADU WAJA KIVINGINE...WAPOST PICHA HII YA NAPE NA KUANDIKA MANENO HAYA MAZITO

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
MTANGAZAJI na mwanachama wa Shirika la Wambeya Duniani ‘Shilawadu’, Soudy Brown leo ameweka picha ya kwanza mtandaoni baada ya kutoka likizo iliyosababishwa na sekeseke la kuvamiwa kwa kituo chao cha kurushia matangazo, Clouds Televisheni na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

Jamaa huyo ameweka picha ya aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa na Utamaduni, Nape Nnauye na haijafahamika ni kwanini ameweka picha hiyo.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts