KUMEKUCHAA, MAHAKAMA KENYA YAZUIA MADAKTARI WA TANZANIA KUAJIRIWA KENYA | BONGOJAMII

KUMEKUCHAA, MAHAKAMA KENYA YAZUIA MADAKTARI WA TANZANIA KUAJIRIWA KENYA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
KENYA: Mahakama imeizuia Serikali kuajiri Madaktari kutoka Tanzania kwa sababu ndani ya nchi hiyo kuna Madaktari 1,400 wasioajiriwa.

Mpaka sasa takribani watanzania 400 wenye taaluma ya Utabibu wameomba kazi hiyo.

Rais Magufuli alikubali ombi la kupeleka Madaktari 500 ili kupunguza uhaba wa Madaktari nchini Kenya kutokana na mgomo unaoendelea nchini humo.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts