NAPE AFUNGUKA HAYA BAADA YA RAIS MAGUFULI KURUHUSU WIMBO WA NEY UPIGWE POPOTE | BONGOJAMII

NAPE AFUNGUKA HAYA BAADA YA RAIS MAGUFULI KURUHUSU WIMBO WA NEY UPIGWE POPOTE

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
ALIYEKUWA Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye kupitia ukurasa wake wa twitter amechapisha ujumbe wenye kutaka itumike busara na siyo nguvu katika kufanya maamuzi.


Aidha ujumbe huo ulikwenda sambamba na picha ya msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’.


Nape ameonyesha kuguswa baada ya kukamatwa kwa mwanamuziki huyo na alipoachiwa huru amepongeza uamuzi uliofanyika na kusisitiza mara zote busara inastahili kutumika.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts