Sanchoka Akubali Kumpa Penzi Idris kwa Masharti Mazito | BONGOJAMII

Sanchoka Akubali Kumpa Penzi Idris kwa Masharti Mazito

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
MODO mwenye fi ga bomba, Jane Ramoy ‘Sanchi’ ameweka wazi kuwa, sasa amekubali rasmi kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na mchekeshaji ambaye pia ni Mtangazaji wa Redio Choice FM ya jijini Dar, Idris Sultan lakini kwa masharti.Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Sanchi alisema:


“Ni kweli nilikutana na Idris kipindi f’lani kule Sauzi, akaonesha kunipenda na mimi nikavutiwa naye hivyo tukaanzisha uhusiano. “Niliporudi Bongo nikapata taarifa kuwa bado Idris anatoka na Wema, hapo ndipo nilipoamua kumpotezea. Alikuwa akinibembeleza kuwa, hayuko naye lakini nilibaini bado wapo pamoja, nikakaa kando


“Sasa hivi nimeamini kweli wameachana hivyo sioni shida kuwa hivyo sioni shida kuwa naye kwa kuwa ni mwanaume wa aina yangu lakini masharti ni kwamba, asiwe na michepuko na pia aoneshe kunipenda kweli, nikibaini tofauti sidhani kama nitakuwa na amani,”alisema Sanchi.


Idris aliwahi kutangaza kuwa ndiye anayemmiliki mdada huyo huku akimsifia kuwa ni kifaa kuliko aliyekuwa mpenzi wake, Wema Sepetu.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts