TAHADHALI , TAREHE MOJA MWEZI WA NNE (KESHO) NI SIKU YA WAJINGA DUNIANI | BONGOJAMII

TAHADHALI , TAREHE MOJA MWEZI WA NNE (KESHO) NI SIKU YA WAJINGA DUNIANI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Kesho asubuhi, April 1, 2017 kutakuwa na ule upuuzi wa " Siku ya Wajinga Duniani ", katika taarifa na habari mbalimbali kupitia mitandaoni.

Muungwana Blog inapenda kuwakumbusha wapendwa wote kuwa makini na baadhi ya taarifa mbalimbali zitakazokuwa zikitolewa siku ya kesho (hasa asubuhi) kupitia mitandao na sehemu nyingine kuwa zinaweza kuwaletea sintofahamu au usumbufu.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts