UKATA WA FEDHA==>>YANGA YAMTIMUA RASMI HANS VAN PLUIJIN | BONGOJAMII

UKATA WA FEDHA==>>YANGA YAMTIMUA RASMI HANS VAN PLUIJIN

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Leo Ijumaa February 3, 2017 uongozi wa Yanga umesitisha mkataba na mkurugenzi wao wa ufundi Hans van Pluijm.

Van Pluijm alikuwa kocha wa timu hiyo kabla ya kubadilishiwa majukumu kuwa mkurugenzi wa ufundi baada ya ujio wa George Lwandamina ambaye ndio kocha mkuu wa sasa.

Taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii zinataja kuwa chanzo cha kuondoshwa kwa kocha huyo ni uhaba wa pesa unaoikabili klabu hiyo kwa sasa.

Udaku Blog inaendelea kupambana kutafuta sababu zilizopelekea Pluijm kupigwa chini na Yanga na habari kamili utaipata hapahapa.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts