BARCELONA YABAMIZWA GOLI 3 BILA MAJIBU DHIDI YA JUVENTUS | BONGOJAMII

BARCELONA YABAMIZWA GOLI 3 BILA MAJIBU DHIDI YA JUVENTUS

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Juventus waliwapa kisago Barca

Barcelona imechabangwa magoli matatu kwa sufuri na Juventus katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Klabu Bingwa Ulaya.

Paulo Dybala alifunga magoli mawili katika dakika ya 7 na ya 22. Bao la tatu lilifungwa na Giorgio Chiellini katika dakika ya 55.

Barcelona walicheza kufa na kupona kujaribu kupata japo bao moja la ugenini lakini hawakuweza kufua dafu
Mchezo mwingine wa robo fainali kati ya Borussia Dortmund dhidi ya Monaco uliahirishwa baada ya basi ya Dortmund kushambuliwa.

Mchezo wa marudiano ni wiki ijayo.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts