BREAKING NEWS: HAJI MANARA ASIMAMISHWA MWAKA MMOJA NA FAINI YA MILIONI 9 | BONGOJAMII

BREAKING NEWS: HAJI MANARA ASIMAMISHWA MWAKA MMOJA NA FAINI YA MILIONI 9

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD


Kamati ya Maadili ya TFF imemsimamisha Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Haji Manara kujihusisha na soka ndani na nje kwa muda wa miezi 12 na faini shilingi milioni 9 vyote kwa pamoja


Mapema wiki hii TFF ilimfungulia mashtaka Manara kwenye Kamati hiyo inayoongozwa na Wakili Jorome Msemwa kutokana na kauli alizotoa wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari makao makuu ya klabu ya Simba SC.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts