BREAKING NEWS: HATIMAYE ASKOFU GWAJIMA AACHIWA HURU NA MAHAKAMA | BONGOJAMII

BREAKING NEWS: HATIMAYE ASKOFU GWAJIMA AACHIWA HURU NA MAHAKAMA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuchia huru Mchungaji wa kanisa LA Ufufuo na Uzima Askofu Josephat Gwajima kufuatia kosa la Kutoa Lugha ya Matusi Dhidi ya Muadhama Polycap Kardinal Pengo mnamo mwaka 2015.

Chini ya chini ya Hakimu mfawidhi Cyprian Mkeha Mahakama imeamuchia Askofu Gwajima kwa mujibu wa kifungu cha sheria ya 225 ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts