DAYNA NYAGE ABEBA TUZO MBILI NIGERIA | BONGOJAMII

DAYNA NYAGE ABEBA TUZO MBILI NIGERIA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Muimbaji huyo amechua tuzo ya Best African Artist pamoja na Best Vocal Performance Female.

Dayna ameiambia Bongo5 kuwa kamati ya tuzo hizo inafanya mchakato wa kumtumia tuzo zake.

Kupitia Instagram ameandika:

Leo imekuwa siku yangu ya furaha sana sana sana Na ningependa ni washukuru wotee🙏Mliokesha mkiniombea, mlikesha mkihamasisha, mlikesha mkinipigia kura. Hatimaye tumefanikiwa kutwaa tuzo zote mbili nchini Nigeria.

BEST VOCAL PERFORMANCE FEMALE
BEST AFRICAN ARTISTE

Ahsanteni sana mashabiki zangu , ahsanteni sana Wadau wangu, ahsanteni sana Media zote, watangazaji, waandishi, na ma dj. Ahsante sana producer wangu Mr.Ttouch, shukrani kwa menejiment yangu na wasanii wenzangu.

Sote tuliacha kazi na tukafanya kazi moja tu na hatimaye Matunda ni haya.🏆Sijashinda mimi tu @daynanyange bali imeshibda Tanzania na Afrika kwa ujumla
#JuhudiZimezaaMatunda💃🏻 Mungu awabariki sana🙏🙏🙏

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts