KIM KADARSHIAN AFANYA TENA UPASUAJI WA MAKALIO | BONGOJAMII

KIM KADARSHIAN AFANYA TENA UPASUAJI WA MAKALIO

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
MWANAMITINDO na Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians (KUWTK), Kim Kardashian amefanya upasuaji wa kuyarudisha makalio yake kwa mara nyingine.

Mwezi uliopita, Mtandao wa RadarOnlineuliripoti kuwa mwanamama huyo mwenye watoto wawili, North na Saint aliyezaa na mkali wa Hip Hop, Kanye West ameamua kufanya upasuaji wa kuyapunguza makalio yake alipokuwa katika ziara ya kifamilia huko Costa Rica.

Kwa habari za sasa, Kim ameamua kuyarudisha upya makalio yake na haijawekwa wazi sababu iliyomfanya kuchukua uamuzi huo ndani ya mwezi mmoja.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts