SMS TATU ZA MAPENZI ZITAKAZO MSISIMUA MPENZI WAKO USIKU HUU | BONGOJAMII

SMS TATU ZA MAPENZI ZITAKAZO MSISIMUA MPENZI WAKO USIKU HUU

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD


Kuna miezi 12 katika mwaka…siku 30 katika mwezi…siku 7 katika wiki, masaa 24 katika siku…dakika 60 katika saa……lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu.
****
I asked God for a rose and He gave me a garden. I asked God for a drop of water and He gave me an ocean. I asked God for an angel and He gave me you!
****
Kuna vitu viwili zinavyoniamsha asubuhi na mapema: Alamu ya saa yangu na wewe
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts