SPIKA WA BUNGE AWATAKA WBUNGE KUTOA NUSU YA POSHO ZAO KUCHANGIA MATIBABU YA LISSU | BONGOJAMII

SPIKA WA BUNGE AWATAKA WBUNGE KUTOA NUSU YA POSHO ZAO KUCHANGIA MATIBABU YA LISSU

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Spika wa Bunge, Job Ndugai amewaomba wabunge watoe nusu ya posho zao kwa siku kuchangia gharama za matibabu ya Tundu Lissu.


Ndugai amesema leo bungeni kuwa gari ya Tundu Lissu ilipigwa jumla ya risasi 28 hadi 32,lakini zilizompata Tundu Lissu ni tano ambapo zilimjeruhi tumboni na mguuni.


Lissu aliondolewa Hospitali ya General Dodoma Usiku wa kuamkia leo na kupelekwa nchini Kenya kwa Matibabu zaidi

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts