VIDEO: KIMENUKA..."KAMPUNI ZOTE ZA MADINI HAZIJAWAHI KULIPA KODI, HAPA KUNA TATIZO" | BONGOJAMII

VIDEO: KIMENUKA..."KAMPUNI ZOTE ZA MADINI HAZIJAWAHI KULIPA KODI, HAPA KUNA TATIZO"

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
April 13, 2017 Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad amewasilisha ripoti ya mwaka wa fedha ulioishia June 30, 2017. Katika vitu alivyoelezea ni pamoja tatizo kitendo cha makampuni ya madini nchini kutolipa kodi zitokanazo na faida kwa miaka yote.


Full video ya CAG akielezea nimekuwekea hapa chini tayari…

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts