VIDEO: MBOWE APINGA MATOKEO YA UCHAGUZI , ASISITIZA WATAKWENDA MAHAKAMANI | BONGOJAMII

VIDEO: MBOWE APINGA MATOKEO YA UCHAGUZI , ASISITIZA WATAKWENDA MAHAKAMANI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
April 5, 2017 Bunge limepiga kura za kuwapitisha wawakilishi wa bunge la Afrika Mashariki ambapo wagombea saba pekee ndio waliopitishwa kwa kupigiwa kura za ndio huku sita kati yao wakitokea Chama cha mapinduzi (CCM) na mmoja Chama cha wananchi CUF huku wagombea wawili wa CHADEMA wakikosa sifa baada ya kupigiwa kura nyingi za HAPANA.

Nje ya ukumbi wa Bunge Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Freeman Mbowe ameongea na waandishi wa habari na kusema kuwa hawakubaliani na matokeo na watakwenda Mahakamani.


Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts