BREAKING NEWS: ACT WAZALENDO WAMCHAGUA MRITHI WA KITILA MKUMBO | BONGOJAMII

BREAKING NEWS: ACT WAZALENDO WAMCHAGUA MRITHI WA KITILA MKUMBO

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Chama Cha ACT- Wazalendo kimemtangaza rasmi Mwanasheria Albert Msando kuwa mrithi wa Nafasi ya Mshauri Mkuu wa Chama hicho iliyoachwa awazi na Prof Kitila Mkumbo aliyeteuliwa na Rais Magufuli kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji

Kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chama hicho Doroth Semu, Utuezi huo umeanza Mara tangu Mei 8, 2017.

Kabla ya uteuzi huo ndani ya Chama hcho Msando alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria.


Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts