CCM WAONYESHA HISIA ZAO KWA KUANDAMANA MBELE YA RAIS MAGUFULI | BONGOJAMII

CCM WAONYESHA HISIA ZAO KWA KUANDAMANA MBELE YA RAIS MAGUFULI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Moshi. Waandamanaji ambao ni wanachama wa CCM wamevifunika vyama vingine katika maadhimisho ya Mei Mosi yanayoendelea katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi.

Kundi hilo la wanachama wa CCM wakiwa wamevalia sare zenye rangi za chama hicho za njano na kijani, lilipita mbele ya jukwaa kuu, wakiimba nyimbo za kumsifu Rais Magufuli na CCM.

Ingawa mshereheshaji alisema walivialika vyama vyote, lakini ni wafuasi wa CCM ndio waliojitokeza wakiingia kwa mbwembwe nyingi uwanjani hapo.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts