HUU NDIO MSIKITI UNAOJENGWA ILA MAFUNDI HAWAONEKANI | BONGOJAMII

HUU NDIO MSIKITI UNAOJENGWA ILA MAFUNDI HAWAONEKANI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Uliwahi kusikia jengo linalojengwa kwa muda mrefu zaidi na mafundi hawaonekani, iwe usiku au mchana jengo linazidi kupanda juu, pia ata magari ya kubeba kokoto, mchanga hata matofari yasionekane...!!!


Hii ni mpya kutoka Bujumbura- Burundi ambako kwamujibu wa Clouds Fm kupitia mtangazaji wake dacota delavida ambaye yuko huko kwa ajili ya ziara yake na staa wa Muziki wa dansi @bellachristian1....wadau wanaoishi jirani na msikiti huu wanamekuwa wakishangazwa na ujenzi wake kwa miaka 17 sasa bila kumuona fundi wala magari ya kubeba mchanga na kokoto.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts