Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Simon Sirro, avalia njuga matukio ya uhalifu yanayoweka rehani amani ya nchini.
Awali IGP Sirro ametuma Salamu za kwa wahalifu na kuwapa neno la faraja Wananchi wa Kibiti , Ikwiriri pamoja na Mkuranga na Rufiji.
IGP Sirro amekula kipao mbele ya suala la Mauji ya Raia kibiti na kuweka Dau kwa Wananchi watakao waonyesha wauaji wa Raia.
Ameweka mikakati ya kutokomeza uhalifu huo kwa kuanza kuongeza nguvu ya ziada kukabiriana na uhalifu huo.
Suala la Pili la ni Rushwa kwa Askari wa Jeshi la Polisi na kwamba askari au mtumishi wa jeshi hilo akicjihusisha na Rushwa atachukuliwa hatua za kisheria.
Suala la Mwisho ni kwamba kukomesha mauji yanayotokana na wananchi kujichukulia sheria Mkononi (watu wenye asira kali) na kwamba watachukuliwa hatua kali.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka