Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

RAIS mstaafu Jakaya Kikwete akutana na Mchezaji wa Kimataifa wa Kitanzania Mbwana Ali Samata mjini Brussels Ubelgiji
Kikwete ameeleza kuwa amekutana na Mwana soka Kipenzi cha Taifa la Tanzania

Kikwete alikuwa kwenye majukumu yake ya kazi kama Mwenyekiti mwenza Baraza kuu la wakimbizi duniani.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka