PROF LIPUMBA AMSIFIA JECHE KUFUTA MATOKEO ZANZIBAR | BONGOJAMII

PROF LIPUMBA AMSIFIA JECHE KUFUTA MATOKEO ZANZIBAR

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD


Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba, anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, amesema ni afadhali Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha aliyefuta matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar kuliko Maalim Seif aliyejitangazia matokeo.


Lipumba amesema, Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alifanya kosa kubwa kujitangazia matokeo.


Lipumba anaendelea na mahojiano ya moja kwa moja yanayorushwa na televisheni ya Clouds.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts