Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Dar es Salaam. Waziri Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage amezima hoja mbunge Ubungo, Said Kubene ambaye alitaka Serikali kutatua matatizo yanayovikabili baadhi ya viwanda.
Kabla ya Mwijage kumjibu, Kubenea alisema kuwa kuna baadhi ya viwanda nchini kikiwemo cha Urafiki na EPZ ambavyo vimekuwa na matatizo, hivyo alitaka kujua ni lini Serikali itatatua matatuzo yaliyopo kwenye viwanda hivyo.
“…Mwenye shiba hamjui mwenye njaa,”amesema Mwijage na kuongeza;
“Urafiki na EPZ vinatoa ajira kwa vijana wengi licha ya changamoto kadhaa zinazowakabili. Lakini kama kuna aliye mbaya mlete kwangu.”
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka