BEKI WA LIVERPOOL ATUA TANZANIA KIMYA KIMYA | BONGOJAMII

BEKI WA LIVERPOOL ATUA TANZANIA KIMYA KIMYA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Beki wa Liverpool anayetakiwa na Crystal Palace, Mamadou Sakho ametua Arusha akiwa njia kutembelea mbuga za wanyama.


Sakho anafuata nyayo za David Beckham aliyekuwa nchini wiki iliyopita na kutembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti.


Sakho alipoteza mvuto katika kikosi cha Liverpool chini ya kocha Jurgen Klopp aliyeamua kumtoa kwa mkopo Crystal Palace mapema Februari.


Hata hivyo, dau la pauni 30 milioni wanalotaka Liverpool linaonekana kumshinda mwenyekiti wa Palace, Steve Parish akisema fedha hizo nyingi kwao.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts