CHADEMA YAAMURU BENDERA ZAO KUPEPEA NUSU MRINGOTI | BONGOJAMII

CHADEMA YAAMURU BENDERA ZAO KUPEPEA NUSU MRINGOTI

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Katibu Mkuu wa Chama hicho Dr Mashinji Leo amezungumza na Waandishibwa Habari Jiji Dar es Salaam.

Dr Mashinji amesema kuwa chama kipo kwenye majonzi makubwa sana baada ya kuondokewa na mwasisi wa chama hicho mzee Ndesamboro na Chama kimeamua kupeperusha Bendera za chama nusu mringoti nchi nzima.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts