BOB JUNIOR AMTOLEA POVU ZITO DIAMOND PLATNUM | BONGOJAMII

BOB JUNIOR AMTOLEA POVU ZITO DIAMOND PLATNUM

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Mwimbaji wa kitambo ambaye pia ni producer wa Sharobaro Records aliyehusika katika kutengeneza nyimbo kadhaa za Bongofleva Bob Junior amefunguka kupitia Instagram yake na kuweka ujumbe ambao anadai kupotezewa na Diamond Platnumz.

Kupitia Instagram yake Bob Junior kaandika“SIMBA NILIE MZOEA SIKU ZOTE NI SIMBA RAFIKI NI SIMBA NDUGU NI SIMBA KIPENZI LEO KAONA HAKUNA NYAMA MBUGANI KAAMUA KUNILA HADI MIE KWELI SIMBA HANA URAFIKI NA WAANADAMU MYAMA ATABAKI KUWA MYAMA NA BINAADAMU MYONGE ATABAKI KUWA MYONGE ACHA NIWE MYONGE ILA MUNGU NDIO MFALME NA YEYE NDIO ANAE TETEA WALE WANYONGE KAMA MIMI BABA MUNGU ULIE JUU HUKUMU UTAITOA WEWE.” – Bob Junior

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts