BREAKING : MAHAKAMA YATOA MAAMUZI MAZITO KUHUSU MKUTANO MKUU WA SIMBA SC | BONGOJAMII

BREAKING : MAHAKAMA YATOA MAAMUZI MAZITO KUHUSU MKUTANO MKUU WA SIMBA SC

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Baada ya bodi ya wadhamini wa club ya Simba kufungua kesi mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es Salaam kuzuia kufanyika kwa mkutano mkuu wa Simba utakaofanyika August 13 2017.

Usiku huu mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imetoa maamuzi na kuridhia mkutano mkuu wa Simba ambao unadaiwa kwenda kujadili mabadiliko kuendelea kama kawaida kama ulivyopangwa Jumapili ya August 13 2017.

Kama utakuwa unakumbuka bodi ya wadhamini ya Simba ambayo inaongozwa na wazee wa Simba akiwemo mzee Kilomoni ilifungua kesi ya kupinga mkutano mkuu kwa madai ajenda itakayojadiliwa katika mkutano huo ni club hiyo kujiendesha kibiashara kitu ambacho wanaamini mali za club zitamilikiwa na mtu binafsi.


Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts