Bonyeza
HAPA kudownload applicationi ya
Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda leo amefanya Mazungumzo na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Lazaro Mambosasa aliekuja kuripoti kwa Mkuu wa Mkoa baada ya kuteuliwa hivi karibuni na IGP Simon Sirro.

Katika Mazungumzo hayo wamejadili hali ya UsalamaJijini Dar es Salaam na namna ya kuendeleza yale ambayo yaliachwa na IGP Simon Sirro wakati akiwa Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.
Bonyeza
HAPA kudownload applicationi ya
Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka