Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Kwa mujibu wa habari,mtu mmoja alikamatwa kwa kumiliki bunduki kinyume na sheria.
Afisa wa serikali nchini humo ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa uchunguzi kuhakikisha hakuna alama yoyote ya ugaidi umekamilika kituoni hapo.
Watu wameonywa kukaa mbali na kituo hicho.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka