Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

A.R. Bernard ambaye ni kiongozi wa wafuasi 37,000 wab chama cha Utamaduni wa Kikristo aliambia CNN kwamba amejiondoa kabisa kutoka bodi hiyo .
Bernard ni raia wa Marekani mwenye asili ya kiafrika ambaye pia ni mwanachama wa bodi ya wanachama 25 wa kidini katika White House .
Baada ya kuwa na ghasia zilizosababishwa na ubaguzi wa rangi rais Trump alisema wazi wazi kwamba makundi yaliyohusika yote yalisababisha vurugu hizo haatari jambo ambalo lilizua ukosoaaji mkuu kutoka kwa Republicans na Democrats .
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka