MANENO YA ALIKIBA BAADA YA KUTAJWA KWENYE ORODHA YA VIJANA 100 WENYE USHAWISHI AFRIKA | BONGOJAMII

MANENO YA ALIKIBA BAADA YA KUTAJWA KWENYE ORODHA YA VIJANA 100 WENYE USHAWISHI AFRIKA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Baada ya msanii wa Bongo Fleva, Alikiba kutajwa kuingia katika orodha ya vijana 100 wenye ushawishi Afrika 2017, ameelezea furaha yake.

“Najisikia vizuri kwamba Africa nzima imekutambua, kuna watu ambao wanatamani kuwa kama Alikiba na vitu kama hivyo. Kwa hivyo nawahamasisha vijana wengine kufanya kazi nzuri kama mimi nivyofanya, nashukuru sana, najisikia vizuri,” ameiambia The Playlist ya Times Fm.

Vijana wengine wa kitanzania waliotajwa katika orodha hiyo iliyotolewa na African Youth Awards ni pamoja na Nancy Sumari, Diamond Platnumz, Elizabeth ‘Lulu’ Michael, Flaviana Matata, Millard Ayo na Jokate.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts