NYIMBO YA ALIKIBA YAZIDI KUPAA, WAZIRI AIMWAGIA SIFA | BONGOJAMII

NYIMBO YA ALIKIBA YAZIDI KUPAA, WAZIRI AIMWAGIA SIFA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Naibu waziri wa Afya Mh. Hamisi Kigwangala baada ya kusikiliza wimbo mpya wa msanii wa bongo fleva King Kibaa 'Alikiba', ameshindwa kuzuia hisia zake juu ya Alikiba ikiwa ni siku mbili zimepita tangu msanii huyo aachie ngoma mpya aliyoipa jina la 'Seduce me'


Kupitia ukurasa wake wa Twitter Waziri huyo ameandika.. ''Seduce me dada...seduce me like what the hell...' It's simply a sing along...Congrats King πŸ‘‘ Kiba @OfficialAliKiba πŸ™ŒπŸΎπŸΉ"

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts