RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU WA NHIF | BONGOJAMII

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU WA NHIF

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemteua, Bernard Konga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).

Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Konga umeanza Agosti 9, 2017.

Kabla ya uteuzi huo Konga alikuwa akikaimu nafasi hiyo.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts