VIDEO: VILIO VYATAWALA, SOKO LA SIDO JIJINI MBEYA LATEKETEA KWA MOTO | BONGOJAMII

VIDEO: VILIO VYATAWALA, SOKO LA SIDO JIJINI MBEYA LATEKETEA KWA MOTO

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Soko kuu la Jijini Mbeya maarufu kama SIDO limeungua moto usiku wa kuamkia leo .Moto huo ulianza majira ya saa 3 usiku ambapo mali za wafanyabiashara mbalimbali katika soko hilo zimeteketea.


Kwa upande mwingine wananchi wamesikika wakimwaga machozi ya lawama kwa Jeshi la Polisi wakilaumu kutoruhusiwa kusogea eneo la tukio kuokoa mali zao kwa kuwafyatulia risasi hewani.
Hii ni mara ya tatu sasa ambapo soko hili liliisha ungua mara mbili mfululizo kabla ya kuungua tena kwa mara nyingine usiku wa kuamkia leo.


==> Tazama video ya tuki hilo hapo chini

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts