WACHEZAJI WA SERENGETI BOYS WATUA ETOILE DU SAHEL | BONGOJAMII

WACHEZAJI WA SERENGETI BOYS WATUA ETOILE DU SAHEL

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Waliokuwa wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, Ally Ng’anzi (kushoto), Yohana Oscar Nkomola (kulia) na Erick Nkosi (katikati) katika fainali za U-17 Afrika nchini Gabon Mei mwaka huu, wakiwa kwenye Uwanja wa mazoezi wa akademi ya Etoile du Sahel mjini Sousse nchini Tunisia ambako wanaendelea na majaribio kwa kujiunga na timu ya vijana ya klabu hiyo

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts