MORINHO AKIONA CHAMOTO AKIWA GOLIKIPA | BONGOJAMII

MORINHO AKIONA CHAMOTO AKIWA GOLIKIPA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Kipa wa Team Shearer, Jose Mourinho akiruka kuokoa bila mafanikio moja ya mikwaju ya penalti katika mchezo wa kirafiki wa Hisani dhidi ya Team Ferdinandi Uwanja wa Loftus Road leo maalum kuchangisha fedha za kuwasaidia wahanga wa ajali ya moto ya Grenfell Juni mwaka huu. Team Ferdinand imeshinda kwa penalti 5-3 baada ya sare ya 2-2 maana yake Mournho alishindwa kuokoa hata mkwaju mmoja. Mabao ya Team Ferdinand yamefungwa na mwanariadha bingwa wa Olimpiki, Mo Farah na Chris Edwards wakati ya Team Shearer yamefungwa na Trevor Sinclair.

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts