habari FAMILIA YA LISSU KUKUTANA KWENYE KIKAO KIZITO Shangazi yake Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, Ninaa Sawa(kushoto) akiwa na mama mdogo wa Lissu, Bula Muro nyumbani kwa wazazi wa ...
habari WANAFUNZI 16,000 HATARINI KUKOSA MIKOPO YA ELIMU YA JUU WAKATI mwezi mmoja umebaki kabla ya mwaka mpya wa masomo kuanza kwa vyuo vikuu nchini, Wanafunzi wa elimu ya juu wapatao 16,000 kati ya 6...
habari BRAZIL YAISAMEHE TANZANIA DENI LA BILLION 445 Serikali ya Brazil imeisamehe Tanzania deni Dola 203milioni ambazo sawa Bilioni 445 ambalo limetokana na mkopo uliotolewa kwaajili ya ujen...
habari POLISI WAMKAMATA MBUNGE MSUKUMA GEITA Polisi mkoani Geita wanamshikilia Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Joseph Kasheku (Musukuma) kutokana na vurugu zilizotokea eneo la mgodi...
habari POLISI YAFAFANUA SAKATA LA WATOTO WATATU KUPOTEZA MAISHA KWENYE MLIPUKO WA BOMU ARUSHA Kamanda wa polisi Arusha Charles Mkumbo amewataka viongozi waliopo karibu na kambi za mazoezi ya kijeshi kuweka utaratibu wa kuwakumbusha ...
habari POLISI WAWILI WAHUKUMIWA MIAKA 35 JELA Mahakama Kuu ya Tanzania imewahukumu askari Polisi wawili wa kutoka kituo cha Oysterbay jijini Dar es Salaam na watu wengine sita kwenda j...
michezo Okwi atupia 2, Bocco 1, Mambo yalikuwa hivi Simba Vs Mwadui Fc SIMBA SC imewapa burudani ya nafsi mashabiki wake leo baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mwadui FC ya Shinyanga katika mchezo wa Ligi ...
habari CHANZO CHA MOTO KWENYE NYUMBA YA ZITTO CHAANIKWA HADHARANI Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Ferdinand Mtui amesema kuongezeka joto katika betri za sola ndio chanzo cha moto uliounguza Nyumba ya Mb...
habari RC MAKONDA ATANGAZA NEEMA HII KWA WATUMISHI WA DAR ES SALAAM Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza mpango kabambe wa kuwasaidia watumishi wa umma kutokana na kazi ngumu wanazozifanya ...