HATIMAYE MREMBO HUDDAH MONROE ATOA SABABU HII NZITO YA KUTOKUWEPO KWENYE WASAFI BEACH PARTY | BONGOJAMII

HATIMAYE MREMBO HUDDAH MONROE ATOA SABABU HII NZITO YA KUTOKUWEPO KWENYE WASAFI BEACH PARTY

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Diamond Platnumz ni mfanyabiashara kwenye muziki asiyeogopa ‘kutake risk’ kwa ajili ya kukamilisha azma yake, hata kama uamuzi atakao uchukua unaweza ukaleta mzozo ndani ya familia yake.
Diamond Platnumz
Katika kunogesha tamasha lake kubwa la Wasafi Beach Party, hitmaker huyo alipanga kumdondosha hasimu mkubwa wa mchumba wake Zari, Huddah Monroe. Kama umesahau, Huddah aliwahi kuingia kwenye bifu kali na Zari baada ya kudai kuwa amewahi kutembea na Diamond na kwamba staa huyo ni ‘mali ya umma.’
Huddah Monroe ni mmoja kati ya warembo waliokuwa wakitangazwa kuwa watanogesha usiku wa Wasafi Beach Party December 24 pale Jangwani Sea Breeze lakini kwa bahati mbaya hadi shughuli inaisha hakutokeaa kiasi cha kuibua maswali mengi kwa wafatiliaji na wahudhuriaji wa tamasha hilo.



Huddah Monroe
Kupitia akaunti yake ya mtandao wa Snapchat December 26 Huddah aliandika ‘The last event is coz Diamond and i didn’t agree on some issues. So i cancelled last minute. That’s the main reason’.


Akimaanisha kuwa ‘shughuli au party iliyopita yeye na Diamond hawakuwa wamekubaliana kwenye baadhi ya vitu hivyo ikamlazimu kuhairisha dakika za mwisho’.


Nikurudishe nyuma kwenye bifu ya Zari na Huddah kwa ujumbe huu ambao mrembo huyo wa Kenya aliupost Snapchat July 21, 2016.

















Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts