JIONEE HIZI PICHA ZA KIMAHABA ZA SHILOLE AKIWA NA MPENZI WAKE MPYA | BONGOJAMII

JIONEE HIZI PICHA ZA KIMAHABA ZA SHILOLE AKIWA NA MPENZI WAKE MPYA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD


Shilole akipenda, mashabiki wake hawafichi kitu. Mahaba aliyokuwa akipewa Nuh Mziwanda, sasa yamehamishiwa kwa kijana mwingine, anayefaidi utunzwaji uliotukuka kutoka kwa muimbaji na mjasiriamali huyo.
Shishi na mpenzi wake huyo hawaachani, wanaambatana kama kumbikumbi, kwenye jet hadi kwenye meli wakifaidi upepo wa bahari ya Hindi. Wawili hao walisherehekea sikukuu ya Christmas pamoja na Shishi hakwisha kumdekea mpenzi wake.













Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts