Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD
Kumekua na taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya kuachana kwa Jackline Wolper na Harmonize na hii ni baada ya Jackline Wolper kumpost Harmonize kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika maneno yaliyoashiria kuwa wawili hao hawawezi kuendelea na mahusiano yao.
Post ya Wolper juu ya kusitisha mahusiano yake na Harmonize
imempata Harmonize kwenye Exclusive Interview ili aweze kuongelea ishu hii na yeye amesema..Mimi sijui, naona tu vitu vinavyoendelea ila mimi sijampost wala sijaongelea chochote popote pale so naona ni mageni kwangu mimi nadhani ni kitu kizuri kama mkimtafuta mwenyewe muhusika na kumuuliza mimi ukiniuliza unanionea’ –Harmonize
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka