Joti Arudia Video ya Darasa...Wadau Wadai Ameitendea Haki Kuliko Darasa, JIONEE HAPA | BONGOJAMII

Joti Arudia Video ya Darasa...Wadau Wadai Ameitendea Haki Kuliko Darasa, JIONEE HAPA

Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
BONYEZA HAPA KU-DOWNLOAD

Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Joti amerudia wimbo wa mwanamuziki Darassa unaokwenda kwa jina la Muziki.


Huu ni wimbo uliofanya vizuri tangu ulipotoka mwezi Disemba mwaka jana hadi sasa. Wimbo huu ni wa Darassa ambapo amemshirikisha Ben Pol ikiwa ni wimbo wao wa pili kuimba pamoja baada ya ule wa Sikati Tamaa.


Burudika na video hapa chini:


Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya Bongojamii Blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka

Featured Posts